KATIKA wimbo wake mpya wa African Soldier, msanii kutoka Nigeria, Patoranking amewataja nyota wawili wa Tanzania, Ali Kiba na Diamond Platnumz kama wanajeshi.