Twaha Kiduku: Nakula chipsi mayai kabla ya kupanda ulingoni, ngumi kuna rushwa, mikataba malikauli Jumapili, Novemba 09, 2025 ...
CHELSEA imezika rasmi jina la utani la ‘Cole Palmer FC’ shukrani kwa kiwango matata kabisa cha mshambuliaji Pedro Neto.
NAHODHA wa Mtibwa Sugar, Oscar Masai amezitaja dakika 90 bora dhidi ya KMC katika mchezo utakaopigwa keshokutwa kwenye Uwanja ...
BEKI wa JKT Tanzania, David Bryson ameutaja msimu wa 2025/26 ni dume kutokana na ushindani uliopo, huku akiwatahadharisha ...
MSANII mkongwe wa Bongofleva, Abbas Hamis ‘20 Percent’ amezungumzia nini maana ya a.k.a ya jina lake akidai ilitokana na ...
Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi ya kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ikiifunga AS FAR Rabat ...
USAJILI wake ndani ya Simba ulizua maswali mengi licha ya uwezo alionao, lakini wengi walikuwa wanajiuliza atacheza nafasi ...
BARCELONA imewaweka katika rada zake mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, 32, pamoja na ...
AUSTIN Reaves amecheeekaaa kuhusu LeBron James kuvunja rekodi kibao za Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), na hasa baada ya hivi ...
KLABU ya Al Ahly Tripoli inasemekana inaendelea kupandisha dau la fedha ili kuishawishi Azam FC imuachie kiungo wake ...
MANCHESTER United imeweka ubaoni orodha ya viungo watatu, Adam Wharton, Elliot Anderson na Carlos Baleba ikiwa ni mpango wa ...
KOCHA Mkuu wa Petro de Luanda ya Angola raia wa Hispania, Franc Artiga, amesema licha ya kucheza na Simba kwa mara ya kwanza ...