Wadau mbalimbali wa soka, wakiwemo mashabiki wa Simba, wanaendelea kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia timu hiyo ikianza safari ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ...