Mac x, Youtong zaua watano Monduli Serikali kufanya mazungumzo na wafadhili Mkurugenzi Nachingwea aonya matumizi ya mabavu kwa wananchi Wagonjwa wa kisukari wakadiriwa kufikia 3,000,000 nchini UVCCM ...
WATU watano wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea leo mchana, eneo la Mbuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani ...
Serikali imesema itafanya mazungumzo na wafadhili ambao wameonyesha nia ya kujitoa kufadhili miradi mbalimbali nchini ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Mhandisi Chionda Kawawa, ameonya watumishi wa umma dhidi ya kutumia mabavu na sheria kandamizi wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Ame ...
WANANCHI 866 wamenufaika na mafunzo ya muda mfupi na muda mrefu ambayo yanatolewa na Chuo cha ufundi stadi(VETA) Gorowa kilichopo wilaya ya Babati mkoani Manyara. Akitoa taarifa ya chuo hicho jana kat ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limethibitisna kumkamata Mwalimu wa Shule ya Awali ya Saint Clement,, Clemence Mwandambo, mkazi wa Uzunguni “A” Jijini Mbeya, kwa tuhuma za kutoa na kusambaza maneno ya ...
SERIKALI inaendelea kutekeleza maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha kila halmashauri nchini inakuwa na kituo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi – VETA – kwa kujenga vyuo ...
AZAM FC departed the country on Wednesday bound for Kinshasa, DR Congo, where they will face AS Maniema Union on Sunday in their historic opening Group B match of the CAF Confederation Cup at the ...
THE government has expressed its commitment to expanding investment opportunities in the pharmaceutical and medical equipment industry. Mohamed Mchengerwa, the Health minister, issued this commitment ...
MGOMBEA Udiwani wa Kata ya Mindu jimbo la Morogoro mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Reuben Sengerema amewaomba wakazi wa kata hiyo kumpa kura za ndio kwenye uchaguzi mdogo ...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa elimu ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limethibitisha kuwa mtoto Devina Derick (2), mkazi wa Kijiji cha Isaka, Rungwe, aliuawa kwa kunyongwa na baba yake mzazi, Derick Mwangama (23), kwa kutumia kamba ya ...