BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi ...
Timu ya Taifa ya Futsal ya Wanawake imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ureno kwa kufungwa 10-0. Kwa sharia za Futsal mechi inachezwa kwa dakika 40 ambazo ni dakika 20 kila kipindi.
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
Wadau mbalimbali wa soka, wakiwemo mashabiki wa Simba, wanaendelea kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia timu hiyo ikianza safari ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ...
KOCHA wa TRA United, Mrundi Etienne Ndayiragije, ameweka rekodi mbili na timu hiyo baada ya ushindi wa bao 1-0 juzi Jumamosi ...
MANCHESTER United inashiriki mchuano mmoja tu wa Ligi Kuu England, lakini huko mazoezini ratiba yao ni kama inacheza michuano ...
FENERBAHCE ya Uturuki inataka kumsajili mshambuliaji mkongwe wa Barcelona na timu ya taifa ya Poland, Robert Lewandowski, ...
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola aliingia katika majibizano na staa wa Newcastle, Bruno Guimaraes, maofisa wa mechi na ...
BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi ...
TAARIFA za ndani zinaeleza wawakilishi wa Real Madrid na wale wa Vinicius Junior wamefikia makubaliano kamili ya kumuongeza ...
SIMBA imepoteza mechi ya kwanza ya kimataifa nyumbani tangu ilipolala 3-0 mbele ya Raja Casablanca Februari 18, 2023, lakini ...
TIMU ya Azam imeanza vibaya mechi za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa mabao 2-0 na AS Maniema Union, ...