Wadau mbalimbali wa soka, wakiwemo mashabiki wa Simba, wanaendelea kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia timu hiyo ikianza safari ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ...
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
Timu ya Taifa ya Futsal ya Wanawake imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ureno kwa kufungwa 10-0. Kwa sharia za Futsal mechi inachezwa kwa dakika 40 ambazo ni dakika 20 kila kipindi.
BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi ...
TIMU ya Azam imeanza vibaya mechi za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa mabao 2-0 na AS Maniema Union, ...
SIMBA imepoteza mechi ya kwanza ya kimataifa nyumbani tangu ilipolala 3-0 mbele ya Raja Casablanca Februari 18, 2023, lakini ...
MANCHESTER United inashiriki mchuano mmoja tu wa Ligi Kuu England, lakini huko mazoezini ratiba yao ni kama inacheza michuano ...
KOCHA wa TRA United, Mrundi Etienne Ndayiragije, ameweka rekodi mbili na timu hiyo baada ya ushindi wa bao 1-0 juzi Jumamosi ...
FENERBAHCE ya Uturuki inataka kumsajili mshambuliaji mkongwe wa Barcelona na timu ya taifa ya Poland, Robert Lewandowski, ...
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola aliingia katika majibizano na staa wa Newcastle, Bruno Guimaraes, maofisa wa mechi na ...
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema anapaswa kubeba lawama kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu yake tangu mwanzo ...
NYOTA wa Namungo, Cyprian Kipenye, amesema kati ya malengo aliyojiwekea na mchezaji mwenzake, Andrew Chamungu, ni kuhakikisha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results