IRINGA: Mbunge mpya wa Iringa Mjini, Fabian Ngajilo, amepokelewa na wananchi wa jimbo hilo, tayari kwa kuanza rasmi majukumu ...
MAKAMU wa Rais Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali ...
DAR ES SALAAM; SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza wachezaji watano watakaowania Tuzo ya Mchezaji Bora ...
NAIBU Spika wa Bunge, Daniel Sillo amehitimisha mafunzo kwa wabunge leo Novemba 21, 2025 jijini Dodoma. SOMA: Spika Zungu ...
IRINGA: Wakili msomi, Jackson Chaula, Diwani wa Kata ya Mlandege, amejiweka rasmi kwenye ramani ya kinyang’anyiro cha Umeya ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu ...
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya ...
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Taasisi ya ...
Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( (PCCB) Mkoa wa ...
MWANAUME mmoja, Derick Mwangama (23), mkazi wa Kijiji cha Mpandapanda, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, amemuua mtoto wake ...
MAPAMBANO dhidi ya ubadhilifu na rushwa ni jukumu la pamoja, si la mtu mmoja au serikali pekee, hivyo wananchi na watumishi ...
WENYEVITI wa vijiji na vitongoji wilayani Monduli wametakiwa kuwa karibu na wananchi na kuhakikisha wanasikiliza na kutatua ...