Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini ...
Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA), kimesema elimu ya 'akiolojia' iliyoanza kutolewa nchini na Makumbusho ya ...
Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya afya na Mbunge wa Busanda, Dk. Jafari Seif, amewataka watumishi wa afya kote nchini kutumia lugha ya heshima, upole na tabasamu wanapotoa huduma kw ...
Maofisa wasafirishaji ' bodaboda na wafanyabiashara' machinga' wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema Desemba 9,2025 hawatafungua shughuli zao baada ya kuwepo kwa taarifa za maandamano yanayoratibiwa kinyu ...
WATU watano wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea leo mchana, eneo la Mbuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani ...
Serikali imesema itafanya mazungumzo na wafadhili ambao wameonyesha nia ya kujitoa kufadhili miradi mbalimbali nchini ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Mhandisi Chionda Kawawa, ameonya watumishi wa umma dhidi ya kutumia mabavu na sheria kandamizi wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Ame ...
WANANCHI 866 wamenufaika na mafunzo ya muda mfupi na muda mrefu ambayo yanatolewa na Chuo cha ufundi stadi(VETA) Gorowa kilichopo wilaya ya Babati mkoani Manyara. Akitoa taarifa ya chuo hicho jana kat ...