News

Katika mwaka 2024/25, mafundi umeme waliosajiliwa na kupatiwa leseni na EWURA wamefikia 6,614 mwaka 2025 kutoka mafundi 2,751 mwaka 2020/21 sawa na ongezeko la asilimia 240. Leseni hizo hutolewa kwa m ...
Jeshi la Magereza Tanzania Bara limepongezwa kwa kufanikiwa kuanza kutumia mifumo ya nishati safi ya kupikia katika magereza zake zote nchini. Pongezi hizo zimetolewa leo Aprili 30, 2025 Jijini Dodoma ...
Tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) la Bonyokwa, kupitia kikao chake cha Kamati Tendaji kilichofanyika tarehe 29 Aprili 2025, limetangaza rasmi kumvua uanachama wake aliyekuwa mwanacha ...
China's top legislative body passed the private sector promotion law on Wednesday, establishing a legal backing for the ...
The promulgation of China's private sector promotion law is timely and of great significance, said Yang Heqing, head of the ...
WAKALA wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) umetengewa zaidi ya shilingi trilioni 1.19 kwa ujenzi na ukarabati wa ...
WAKAZI wa Kijiji cha Mkonko Kata Kamsamba Wilaya ya Momba mkoani Songwe, wameondokana na kero ya kutembea umbali wa zaidi ya ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka ...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka huu, Ismail Ali Ussi, ameonyesha kuguswa na wanafunzi wa shule za sekondari Dk. Samia na Bunge kwa kuwasilisha ujenzi wa athari za rushwa katika U ...
KATIKA kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa elimu bure chuo ufundi VETA 'Furahika' cha jijini Dar es Salaam ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wenye elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu, asilimia 90 zikielekezwa zaidi kwa madaktari bingwa na w ...
MARAIS wa awamu zote sita nchini, wanatarajia kutuzwa kutokan na mchango wao wa kukuza lugha ya Kiswahili, ndani na nje ya ...