BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi ...
Wadau mbalimbali wa soka, wakiwemo mashabiki wa Simba, wanaendelea kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia timu hiyo ikianza safari ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ...
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
Timu ya Taifa ya Futsal ya Wanawake imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ureno kwa kufungwa 10-0. Kwa sharia za Futsal mechi inachezwa kwa dakika 40 ambazo ni dakika 20 kila kipindi.
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
GWIJI wa zamani wa Newcastle United, Alan Shearer ameionya beki ya Manchester City inaweza ikaharibu matumaini ya miamba hiyo ...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, anatarajiwa kuwa mgeni ...
Kwa msimu uliopita Ahoua aliisaidia Simba kumaliza nafasi ya pili akifunga mabao 16 akiwa ndiye Mfungaji Bora na kuasisti 10, ...
Mnyama aliondoka uwanjani akiwa ameloa bao moja na kuivuruga kabisa ile kauli yao maarufu ya michuano ya CAF ‘Kwa Mkapa ...
KIPIGO cha mabao 3-0 ilichopata Liverpool kutoka kwa Nottingham Forest mechi ya Ligi Kuu England, Jumamosi iliyopita, ...
Mshambuliaji mkongwe Cristiano Ronaldo ameendelea kudhihirisha kuwa bado ana ubora wa hali ya juu baada ya kufunga bao ...
NYOTA mkongwe wa filamu za Kihindi, Dharmendra afariki dunia asubuhi ya leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 89 ikiwa ni siku ...