BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi ...
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
Wadau mbalimbali wa soka, wakiwemo mashabiki wa Simba, wanaendelea kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia timu hiyo ikianza safari ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ...
Timu ya Taifa ya Futsal ya Wanawake imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ureno kwa kufungwa 10-0. Kwa sharia za Futsal mechi inachezwa kwa dakika 40 ambazo ni dakika 20 kila kipindi.
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
INAELEZWA beki kisiki wa Crystal Palace, Marc Guehi mwenye umri wa miaka, 25, yupo tayari kusubiri hadi mwisho wa msimu huu ...
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim anafikiria kuomba kucheleweshwa kwa safari ya mastaa wake watakaoshiriki Fainali za ...
BAADA ya Fountain Gate kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Pamba Jiji, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Laizer amesema haikuwa ...
MAMBO yanazidi kunoga England. Hadi sasa Arsenal ndio inaonekana kupewa nafasi kubwa ya kushinda taji la ligi hiyo kutokana ...
BAADA ya kuvuna pointi tatu dhidi ya waajiri wake wa zamani wa Mbeya City, kocha wa Mashujaa, Salum Mayanga amezisifu timu ...
KIUNGO mshambuliaji wa Kitanzania, James Damas anayekipiga MTV Wolfenbuttel U19 ya Ujerumani amesema huu ni msimu wake wa ...
SAA chache baada ya mwigizaji mkongwe wa filamu, Dharmendra, kufariki dunia nyumbani kwake leo Jumatatu, Novemba 24, ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results